Wadau huduma ya T.Z.S 1,500 Na Kupata 15GB imerudi kama kawaida huduma hii inatumika kuanzia saa 5 Usiku hadi saa 11 Alfajiri ni bila kikomo cha speed enjoy Guys.
Speed huwa wanabana hao wezi kwanza bora airtel 600 gb 10 speed bila kikomo
Speed huwa wanabana hao wezi kwanza bora airtel 600 gb 10 speed bila kikomo
nipe menu ya hiko kifurush cha airtel