Kwanini kila nikiingia internet simu yangu inaniandikia not enough memory?

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Tatzo ninin wakuu haka ka techno ya batan nikiingia inaandka hvo wakati kuna memory ya 4gb na inafanya kazi?
 
hiyo 4gb unamaanisha memory card nadhani, internal memory ya simu ndo tatizo hapo
 
memory inaweza kuwa storage au ram. hapo huenda ni ram unaingia page zenye vitu vingi kama picha hivyo ram inajaa.

tumia operA
 
RAM inakuwa monitored na Android daemon. Ikiwa exhausted, the system will kill all low priority and background processes ili kuiacha the foreground (browser) na enough memory. Ikishindwa basi it will kill the browser itself. Sidhani kama italeta notification. (Labda kama anatumia hizi apps za kuclean)

Nadhani itakuwa storage. Cache labda. Ajaribu kuclear cache.

Mleta mada nenda Settings>Storage kisha utuambiehow much free memory you have on the internal storage. Kama ni less than 100 mB jaribu kwenda Settings>Applications>All Apps>Clear Cache.
 
soma vizuri thread, simu si smartphone, ni tecno ya batan kama alivyoandika hivyo kuna uwezekano mkubwa ni feature phone inayotumia java.

java phone nyingi ram ni 32mb au chini ya hapo ukitoa ram inayotumiwa na system unabakiwa na ram ndogo hivyo ukiingia web hasa zile ambazo hazipo optimized kwa simu kuna uwezekano mkubwa ukaface tatizo la ram.

ndio maana nikatoa ushauri wa opera sababu inacompress kila kitu na kufanya browsing itumie resource chache
 
tatizo ni ram,,,,random acces memory. hiyo ni memory kwaajil ya muda tu yaan page unazo ziona lkn ukizma cm nazo hupotea. sas hiyo inatatzo ni ndogo san hat kma unamemory kas kubwa kias gan ... iyo ikiw ndog ilo tatzi litaendea... nichek kwa ntakusaidia zaid 0714106228
 
soma vizuri thread, simu si smartphone, ni tecno ya batan kama alivyoandika hivyo kuna uwezekano mkubwa ni feature phone inayotumia java.

java phone nyingi ram ni 32mb au chini ya hapo ukitoa ram inayotumiwa na system unabakiwa na ram ndogo hivyo ukiingia web hasa zile ambazo hazipo optimized kwa simu kuna uwezekano mkubwa ukaface tatizo la ram.

ndio maana nikatoa ushauri wa opera sababu inacompress kila kitu na kufanya browsing itumie resource chache

My bad, sikumsoma hapo. Kweli kabisa aisee.
 
Back
Top Bottom