Naomba kusaidiwa kuhusu tecno boom J5

zejono

Member
Mar 14, 2015
34
4
Nina simu yangu tecno boom J5 tangu nmenunua mpaka sasa sjawahi kuona mtandao wa internet ukisoma H+
Unaishia 3G tu sasa sjui tatzo nini
Nmeshawahi kuuliza kwa watu wanaotumi aina hi ya simu lakin tatzo ni hilo hilo
Msaada wenu pls
 
nipo Iringa hata mm cjawahikuona H+ japokuwa cm enye uwezo Mdogo kuliko boom j5 kama H3 na H 4 zinasoma
 
Simu zenye uwezo wa 4G huwa hazioneshi H na H+. Hiyo ni baada ya kufahamishwa na wadau. Don't mind ikiandika 3G wakati speed ipo muzuri. So siku ukiunga 4G mambo itakuwa muruwa.
 
Simu zenye uwezo wa 4G huwa hazioneshi H na H+. Hiyo ni baada ya kufahamishwa na wadau. Don't mind ikiandika 3G wakati speed ipo muzuri. So siku ukiunga 4G mambo itakuwa muruwa.
hapana, unaweza kuwa na simu ya 4g na ikaonesha h na h+
 
3g ni mjumuiko wa technology kama h, h+, ev-do etc

hivyo hakuna cha ajabu simu ikionesha 3g bila h au h+
 
Back
Top Bottom