Recovery software's

Raaj

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
205
29
Habari ndugu wana JF .

Ni juzi tu nilitoka kuomba msaada wenu kuhusu external hard disk nashukuru kwa msaada wenu niliweza kutatua tatizo hilo sasa tatizo linakuja kwenye ku recovery data zilizokuwemo kwa kutumia software zifuatazo:-

1.AESEUS RECOVERY
Hii software inazisoma data zote zilizo kuwemo ila tatizo inatoa 1GB tu ya ku recover wakati mimi data zangu ni 250GB.

2.RECUVA RECOVERY
Software hii ina niandikia "fail to determine file type" yaani haisomi chochote.

3.PANDORA RECOVERY
Hii ndo bomu kabisaa maana ina scan kuanzia asubuhi hadi jioni haipati file hata moja .

HIVYO NAOMBENI MAWAZO YENU NITUMIE SOFTWARE IPI ILI NIWEZE KUREJESHA DATA ZANGU? NA NI VIPI NAWEZA KU UPGRADE AESEUS SOFTWARE MAANA INAZIPATA DATA ZOTE KWA MUDA MCHACHE.

ASANTENI.
 
Habari ndugu wana Jf ni juzi tu nilitoka kuomba msaada wenu kuhusu external hard disk nashukuru kwa msaada wenu niliweza kutatua tatizo hilo sasa tatizo linakuja kwenye ku recovery data zilizokuwemo kwa kutumia software zifuatazo
1.AESEUS RECOVERY
hii software inazisoma data zote zilizo kuwemo ila tatizo inatoa 1GB tu ya ku recover wakati mimi data zangu ni 250GB 2.RECUVA RECOVERY
Software hii ina niandikia "fail to determine file type" yaani haisomi chochote
3.PANDORA RECOVERY
hii ndo bomu kabisaa maana ina scan kuanzia asubuhi hadi jioni haipati file hata moja
HIVYO NAOMBENI MAWAZO YENU NITUMIE SOFTWARE IPI ILI NIWEZE KUREJESHA DATA ZANGU? NA NI VIPI NAWEZA KU UPGRADE AESEUS SOFTWARE MAANA INAZIPATA DATA ZOTE KWA MUDA MCHACHE
ASANTENI
kama bado hujafanikiwa check hapa, Cracksurl
 
kama bado hujafanikiwa check hapa, Cracksurl

Nashukuru sana ndugu kwa msaada wako lakini kila nikibonyeza link ya ku download inaniletea matangazo na je na download ipi hapo maana link zipo nyingi kweli
Asante naomba usinichoke ndugu mi sijui lolote kuhusu haya mambo
 

Attachments

  • Eee.png
    Eee.png
    20.9 KB · Views: 93
ni easeus hizo data nimezihakikisha maana nimerexover hyo 1GB wanayotoa free unanishauri vipi ndugu??

Bila shaka hukufanya deep scan, kwa miaka yote nimekuwa nikitumia easeus na haijawahi kuniangusha kwa sababu huwa inaleta zaidi ya kile ninachokihitaji
 
Back
Top Bottom