Hiyo network ya internet yako sio nzuri iko low au space imejaa..
Iuninstalll afu install upya..
Net kwako ipoje mkuu..Asante mkuu ndetichia. ila nimeinstall wiki mbili zilizopita inawezekanaje kwamba space imejaa???
Net kwako ipoje mkuu..
Hiyo network ya internet yako sio nzuri iko low au space imejaa..
Iuninstalll afu install upya..
Whatsapp ikidownload text na kukataa kudownload media kama video inamaana setting zako za internet zina proxy.
Kibongo bongo setting zenye proxy ni za wap na mms ambazo ni za kizamani sana na mitandao yetu wanaendelea kuzitumia.
Nenda setting halafu kwenye wireless and network nenda more halafu nenda mobile network halafu acess point name. Angalia hapo una setting gani? Kama ni za wap/mms/web utatakiwa utengeneze nyengine
Bonyeza menu button (button tatu za chini iliochorwa ngazi) kama haipo angalia juu kama kuna three dots au kitu chochote ili uweze kutengeneza apn, click new apn halafu
Connection name andika chochote
Apn andika internet
Click save
Halafu activate hio apn ulioitengeneza kwa kuiekea dot kwa mbele.
Sasa hv itaweza kudownload whatsapp
Jamani namimi naombeni msaada,simu yangu haitaki kabisa ku update applicaion nilizozidownload,yaan nikiingia play store application nyingi zinaniambia nizi update lakini kila nikiupdate haitaki,mwanzoni nilizani tatizo ni mtandao lakini mtandao uko pouwa tu maan vitu vingine vyote nafanya,hata kudownload nyimbo tubemate nadownload vizuri tu,,tatizo n kwenye ku update applications tu, natumia phantom z-min.. Chief-Mkwawa
Ukidownload kitu playstore kinadownloadika?
Kama huwezi kudownload pia fata ushauri huo hapo juu na kama tatizo litaendelea jaribu kuclear data na cache za playstore
Kuna alternative kibao za play store mkuu.Mkuu Chief-Mkwawa ngoja nijaribu kfata hayo maelekezo maana siwezi kudownlod chochote playstore,ntaleta mrejesho nikifanikiwa
Kuna alternative kibao za play store mkuu.
mkuu Sambusa kavu, kama wahitaji app yoyote waenza ingia gugo ukasechi mwishoni malizia na neno "apk". mfano kama unahitaji whatsapp. sechi "whatsapp apk". fata link udownload. market mbadala ya playstore ziko hapa Android Markets | all the markets about android
Wakuu nimejaribu njia aliyoniamba Chief-Mkwawa ila bado nimekwama,nimeclear data zote na cashe bado imegoma,nimefanya setting upya kama mlivonielekeza pia bado...labda mkuu Sept nisaidie izo altenaltive zingine za playstore maana imu ishaanzakunitia hasira.
samahani wakuu wa hili jukwaa. nashindwa kudownload nyimbo na videos kwenye whatsapp. kila ikianza kudownload inazungusha kile kimduara mpaka mwisho halafu hamna chochote imedownload. tipeane msaada jamani hapo vipi wakuu