Tecno m3 imegoma kuwaka

abd-rashid nkando

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
207
160
Wajuzi wa mamba natumaini ni wazima, nilikuwa nahitaji kufahamu kama Kuna uwezekano wa kuifufua simu y tecno m3 ambayo ilikuwa inabadilishwa ROM so tulivyo maliza yenyewe ikagoma kuwaka
 
Wajuzi wa mamba natumaini ni wazima, nilikuwa nahitaji kufahamu kama Kuna uwezekano wa kuifufua simu y tecno m3 ambayo ilikuwa inabadilishwa ROM so tulivyo maliza yenyewe ikagoma kuwaka

M3 ni tecno mbovu kupta maelezo hvyo tafta cm nyngne kwani hata ikiwaka itaishia kwenye neno TECNO hapo haiendelei tena
 
bado nzima kabisa iyo nenda ikaflashiwe unajua nini? inatakiwa same body atakaye kusaidia awe na program data za m3 kama iyo. anaitoa Oyo anaweka nyingine kama iyo tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom