elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,732
Gari aina ya allion juzi ilikuwa poa ila jana nimelipeleka car wash wakaliosha hadi engine na nikalifanyia service ambapo walibadili engine oil, oil filter na air filter.
Kisha nikaenda kituo cha mafta nikajaza mafta baada ya hapo nikaenda kwa fundi radio anirekebishie booster katika kurekebisha alichomoa terminal ya betry alipo irudishia vioo vya milango nikawa siwez vipandiaha ama kuvishusha kwa kutumia switch zilizopo mlangon kwa dereva.
Nikaondoka wakati nikiwa foleni ikawa kwenye P gafla ikazima. Nikaiwasha ikawaka nikaendelea na mishe mpaka jion.
Leo nilikuwa na safari ya kwensa dodoma ile nomefika mbezi mwisho nikawa nikikanyaga mafta hairespond nikikanyaga kibati mpaka mwisho ndipo inaitika ikichanganya tatizo linapotea.
Nikipunguza mwendo linarudi nikatembea nayo hivyo hivyo mpaka dodoma.
Nikaenda garage fundi akasafisha plugs kisha nikaendelea na safari nikaunga singida lakini nikiwa njiani tatizo likajiruia.
Kwa wataalam wa magari tatizo inaweza kuwa nini.
Gari ni toyota allion