Warren T
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 664
- 409
Jana nimebadilisha startimes na kununua zuku ambao wamenipa offer ya mwezi mmoja ya kifurushi cha classic package ila mimi nataka nijiunge/ninunue kifurushi cha premium, naomba mwenye ujuzi anielekeze cha kufanya. Je najiunga tu kama kawaida au kuna procedure za kujiondoa kwanza kwenye hicho kifurushi cha offer cha classic? Je najiondoaje na najiungaje na premium?
Ni hayo tu na naombeni msaada wenu
Ni hayo tu na naombeni msaada wenu