Heshima kwenu wakuu.Kwa kweli ni too much kwa ndugu zangu wa tigo msipojirekebisha mtapoteza wateja wengi kwa mtindo wenu huu wa huduma mbovu pasina kuzingatia.Huduma zenu sjui huwa mnakurupuka tu...
You are supposed to hide your Identification via whatsapp ..you can available without your real ID... we can create each number that you want just check up us via 0655500066 sms or whatsapp even...
habari wana group, nimeona post nying hapa za jinsia ya kutumia whasap mbili kwenye simu moja,
INAWEZEKANA, fuata maelezo
ingia play store, then search disa kisha install
Ikimaliza fungua disa...
Wakuu nimeamua kununua simu mpya kabla ya mwaka huu kuisha.So niliamua kupitia pitia kwenye online market app inayoitwa Jumia nikakutana na simu inayoitwa INNJOO FIRE PLUS baada ya kusoma features...
Heshima kwenu!
Mimi ni machinga nahitaji msaada wa jukwaa hili kama itawezekana. Nahitaji mtu mwenye uwezo wa kudevelop mobile application kama ya Citizen Tv ya Kenya au KTN anitafute tuone namna...
habarin kaka na dada zangu. mimi ninamiliki ipad ya apple yenye GB 32 hv karibun ilizimika ikawa inadai upadates. baas nikai update ikawaka na ilikuwa inadai kuji reset ikajireset na ikawa poa...
Hello!!! Natumia IBM thinkpad since nime install os mpya napata shida drives zake!! Nimejaribu kwenye Home page yao (IBM) sikufanikuwa.Naomba help kwenye drives zake .. Os mpya ni window 7...
nmechoka kutumia smartphone za tecno coz nmekuwa nkjtahid kubadil mara kwa mara model tofaut
sasa nataka kuhamia kwa samsung...kwa budget ya 250 ipi iko poa kwa matumiz ya kawaida.. natangulza...
jamani natumia samsung galaxy grand 2(SM-G7102) naomba munielekeza namna ya kupiga screenshoot sababu hii nahisi kama kuna utofauti na hzo zingine nilizowah kutumia.....ahsanteni wapendwa!
msaada simu yangu hyo haina WCDMA bali ina TD-WCDMA basi 3g haisomi hata kidogo jpo GSM inasoma, tatizo itakuwa ni huo utofaut wa networks ama, picha yake inafuata kuhusu informations za simu...
Naomba msaada wa namna ya kuifanya Memory Card iwe internal memory. Nimebaini kuwa simu yangu (Xperia) ina internal storage ndogo (1.82GB). Cha kushangaza kuna sehemu imeandikwa total space...
nina simu aina ya samsung galaxy s4, tatizo ni kila nikitaka ku sign in google accont ili niweze kudownload applocation mbalimbali, inasoma kwa muda halafu inarudi mwanzo nashindwa kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.