Jinsi ya ku install whatsapp kwenye iPad Air 2

rasta got soul

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
234
114
Niaje wadau nimepata iPad Air 2 ningependa ku install whatsapp messenger kwa anayejua anisaidie mawazo.
 
ipad haina application ya kuinstall whatsapp otherwise ukubali waijall breAk na ukifanya hivyo meshavunja terms of condition za apple
 
Unamaanisha niki jail break sitakuwa na uwezo wa ku purchase apps za apple right..??
 
Back
Top Bottom