Cortana for androids

mchushi

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
216
98
Habarini wakuu baada ya microsoft kuachana na uhafidhina wa kutotaka kuachangamana na OS zingine uhafidhina huo umefika mwisho baada ya kuiachia app ya Cortana kwa ajili ya android devices kitkat and above lakini kwa Tanzania bado playstore hawajairuhusu kufanya kazi nimeipakua yangu katika app miror na sasa nafurahia huyu personal assistant ambaye ni karibu na binadamu kwa vile unavyoweza kuzungumzanaye na kukujibu......karibuni na nyie mfurahie.
 

Attachments

  • 1450809065350.jpg
    1450809065350.jpg
    47.7 KB · Views: 215
  • 1450809087868.jpg
    1450809087868.jpg
    64.2 KB · Views: 188
  • 1450809110256.jpg
    1450809110256.jpg
    39.6 KB · Views: 167
Back
Top Bottom