Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu msaada pls.Natafuta fundi specialist wa Mitsubishi Pajero au Dealer/s wake walipo kwa hapa Dsm. Pili mwenye ufahamu juu ya uimara wa hizi gari plllzzz anijuze. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Wakuu mambo vp? nimetumia samsung galaxy kwa mda mrefu ila kwa sasa napenda nibadilishe aina ya smartphone nitumie HTC, nani ametumia hizi aina zote za smartphone anijulishe km znalingana ubora...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ndugi wanabodi natafta fundi wa kunitengenezea laptop yangu ina sumbua sana kwa maelezo zaidi nicheki ila huyo fundi awe dar check me: 0719537065
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naamini hili wazo sio mimi tu binafsi ambaye ninalo, no ni watu wengi. Sikuwahi jijengea mtizamo wakuamini hivi lakini kwa sasa Tz sioni mtandao mbovu kama TIGO, hakuna kabisa. Bora mtandao uwe...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wana jamvi. Kuna kitu kinanitatiza, hivi hizi bullet proof zinatengenezwa kwa material gani.? Maana kuna vioo ambavyo ni bullet proof.... Kuna vest, ambazo wanavaa hata makomandoo, au...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za kazi wakuu, tatizo langu ni kuwa na huawei p7 ila ina tatizo la kupoteza network after a short time nimejaribu ku apdate to the latest firmware but still the problem persist chief mkwawa...
1 Reactions
0 Replies
789 Views
Gari yangu Mitsubishi pajero inayotumia injini ya 4D56 imeua injini mara 2 ambazo kimsingi inazungusha mkono namba 1 mpaka block inalika kidogo kitu ambacho inakuwa vigumu kufanya repair. Kuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dual-SIM Asus ZenFone Go 4.5 launched for Rs. 5,299 ($80) by: ROB TRIGGS DECEMBER 28, 2015 977 65912 Asus Zenfone Go 4.5 Cost effective smartphones have become big business in India and Asus has...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari mimi ni blogger na nahitaji template kama hii For New Hip Hop music, Hip Hop News & all things Rap & Hip Hop | HipHop DX so nmeona niilete hapa may b naweza pata anayeweza kazi hii. kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu. Nina jambo ambalo halinizuii mi kufanya shughuli zangu kwenye simu yangu lakini huwa silipendi. Kama kawaida kukiwa na version mpya kwenye application unakuwa notified ili...
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Hivi Hizi VPN apps Tunazozikuta Play Store zinafanya Kazi kweli Kama Zinavyoelezewa.. Hasa Katika Sekta Ya Privacy.... Nakumbuka Troid VPN niliitumia Kipindi Kile Cha Basi Jekundu kupanda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada wa KEYS za Windows 10 Education
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wakubwa na wadigo. Back to point. Nimedownload Microsoft office 2010 from getintopc.com link iliyotolewa na cheif-mkwawa But shida inakuja wakati wa kuinstall maana inaenda mpaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninatumia desk top aina ya HP. shida yangu ni kwamba nikiwasha naambiwa kupress f1 to save changes na baada ya hapo ingtumia muda mrefu sana kuwaka. Naomba mnielekeze jinsi ya kutatua tatizo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nina simu aina ya tecno h5 tatizo lake ni DATA CONNECTION ukizima huwa inajiwasha yenyewe . ukiweka off ndani sikunde kadhaha itakuwa/ on naombeni msaada wa kuzima data
0 Reactions
16 Replies
3K Views
wakuu nawezaje kuifanya modem ya airtel iwe universal kwa line zoote.
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Wakuu viwango vya ufahamu vinatofautiana. Nomba kufahamishwa tofauti kati ya Tablet na Phablet. Pia naomba kujuzwa ni aina gani ya Tablet na Phablet ni bora na ni bei nafuu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakubwa! Nahitaji kununua XBOX 360 controllers kama hautumii tena hata kama ni used, iwe tu inafanya kazi vizuri. Tafadhali nitumie ni-PM ahsanteni sana. Shukrani!
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Nina simu ya Huawei nataka kubadili rangi ya mwanga wake ili iwe na mwanga kama wa simu za sumsung.Nawasilisha
0 Reactions
30 Replies
12K Views
Enyi wakuu,wataalamu wa software,nipeni elimu nini tofauti ya kitkat na lollipop na faida au hasara zake.Nataka kubadili simu zangu kutoka kitkat kwenda lollipop,nifanyaje?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom