the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 887
Wakuu naombeni msaada wa KEYS za Windows 10 Education
Wakuu naombeni msaada wa KEYS za Windows 10 Education
Wakuu naombeni msaada wa KEYS za Windows 10 Education
download "ksmpico"
windows edu kunanini cha utofauti na windows pro,
Sasa Chief-Mkwawa kama computer yangu ime update automatic kutoka Window 7 mpaka Window 10 pro. Ina maana baadae itakuja kuhitaji keys?
ndo nataka kujua kilichoizidi ili kama kinavutia niibadili na mimieducation ni zaidi ya pro inalingana na enterprise na mara nyingi microsoft huitoa bure kwa walengwa.
nimeziona izofeature zilizozidi kwa win10 edu, ila nataka unieleweshe zinakuaje katka matumizi ya kawaida ya kila siku endapo unakua nazo eg. window to go, direct access na branchcacheeducation ni zaidi ya pro inalingana na enterprise na mara nyingi microsoft huitoa bure kwa walengwa.
nimeziona izofeature zilizozidi kwa win10 edu, ila nataka unieleweshe zinakuaje katka matumizi ya kawaida ya kila siku endapo unakua nazo eg. window to go, direct access na branchcache
hapo sasa nimeelewa, hata si hangaiki nayo nabaki na hii hii pro.ni feature za enterprise hazimuhusu mtu wa kawaida.
mfano direct acess ni remote connection kwenye intranet ya kampuni. mfano mna device 100 kwenye same network management ya vile vifaa itafanywa na direct acess.
branchcache nayo inaoptimize bandwitch. chukulia mfano wireless ya chuo mupo 10,000 halafu kuna watu 100 wamedownload same movie ya anaconda. huu ni uharibifu wa internet. ukiwa na branchcache akidownload mtu mmoja movie then ile movie wanaicache halafu wapili na kuendelea akidownload haitatoka tena internet itatokea kwenye local server.
huo ni mfano tu maofisini hawadownload movie. hivyo ukiangalia hizo feature hazitusaidii sana mi na wewe. zinawasaidia wenye maofisi makubwa