Msaada: Desk Top yangu inachelewa kuwaka

Hoppity Cywale

Senior Member
Aug 20, 2013
126
29
Ninatumia desk top aina ya HP.
shida yangu ni kwamba nikiwasha naambiwa kupress f1 to save changes na baada ya hapo ingtumia muda mrefu sana kuwaka. Naomba mnielekeze jinsi ya kutatua tatizo
 
Ninatumia desk top aina ya HP.
shida yangu ni kwamba nikiwasha naambiwa kupress f1 to save changes na baada ya hapo ingtumia muda mrefu sana kuwaka. Naomba mnielekeze jinsi ya kutatua tatizo

Kwanza hilo tatizo la F1 ni kwamba internal CMOS battery imekwisha nguvu, au saa haipo sawa au vyote kwa pamoja. Kuhusu kuwa slow kuwaka weka windows upya
 
Kama watumia window waweza kwenda kwenye task manager na kuangalia start up application zi disable zote ambazo huzihitaj ziwe zinaamka na computer
Pil hakikisha partition inayokaa na os inakuwa na space kubwa ya waz
Sikh njema
 
Pole,kwanza kabisa Badili CMOS battery na fanya setting upya ,na angalia uwezo wa hard disk yako inwezekana ni mdogo pia virus yawezekana wameshambulia computer yako.
 
Back
Top Bottom