wakuu habari zenu naombeni msaada naitaji kupata application inayoweza nisaidia kirecovery sms zilifutika kwenye android device ambayo ni samsung galaxy note 4
Wakuu habari za jioni nimepata kununua simu tajwa hapo juu ila nina mashaka nayo kidogo before nilikua natumia Galaxy s4 camera ya s4 naiona mzuri kuliko hii note 2 pia kinginge application zake...
Wakuu simu yangu ya tecno m9 nikiwa naitumia inagoma na kustack na kuniandikia pale chini
Exit..........................x nimeirestore factory lakini bado tatizo halijaisha msaada tafadhali...
Nimekumbana na hii kitu kwenye simu ya tecno P5.Kuna apps kibao zinaji-install zenyewe bila ridhaa yangu plus siwezi kufanya lolote,kuandika sms tu inakuwa shida kwasababu ya interference ya hizi...
Kama una link ya Whatsapp tofauti na Gbwhatsapp yani kama Yowhatsapp,whatsmapp solo na Plus ambazo hazija pigwa burn naomba uni direct nika install
@kcamp @Mwl.RCT
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza niambie upo karibu na jengo, hotel au chuo gani lenye/chenye wifi iliyo na password search katika simu yako nipe jina la ilo jengo nitakupa password yake na...
I was asking for a blog niche available in Tanzania at this moment. Since there are many blogs with same contents. Your views are very important you are welcome.
Wakuu simu ya wife haitaki kuconnect email baada ya tu ya kuremove email ya mwanzo pia hali ni ivo ivo playstore inaleta ujumbe huu ni hivi vya voda smart kicka
This is the leaked firmware which is very close to the final build, which means that there will be no additional features included in the Android 4.3 OS for Galaxy S4.
Model: GT-I9505
Country...
Wakuu em nisaidieni katika hili
Nimekua nikituma maombi ya kazi kwenda recruittanzania@dangoteprojects.com lakini kila nikituma msg inaenda ila baada ya muda narudishiwa majibu kuwa haijafika na...
WanaJamvi,
Hongereni kwa kuuona Mwaka Mpya 2016. @016 iwe ya Kheri kwenu.
Mwenzenu ninatafuta fundi wa Machine ya Kutengenezea / Kuchapisha Picha. Machine ni Noritsu 3311. Ninahitaji kupata...
Wadau... Hivi inakuaje simu kuisha chaji wakati inachajiwa? Yaani simu mfano ilikuwa 20% baada ya kujaa inapungua... Tatizo hili nimeliona kwa simu ya bi mkubwa.. Anatumia Tecno M6..
Habar wanajamvi!!
Naomba link yoyote nitakayoweza kupata hilo game likiwa cracked ili nipata coins unlimited nakurifurahia.. nimejalibu kutumia lucky patcher lakin hawapi.. ukifungua wanataka...
The new End User Licence Agreement for Microsoft’s Windows 10 product gives it the right to remotely disable any counterfeit software or hardware it may encounter on your PC.
Microsoft has...
Nimefuata procedure zote za kuroot smart phone yangu aina ya tecno l5 yenye android version 5.1 ,kwa kutumia software ya android king root ina root mpaka 70% baada ya hapo inaniletaea meseji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.