Do VPN Apps Real Work?

Do VPN Apps Real Work?

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
Hivi Hizi VPN apps Tunazozikuta Play Store zinafanya Kazi kweli Kama Zinavyoelezewa.. Hasa Katika Sekta Ya Privacy....

Nakumbuka Troid VPN niliitumia Kipindi Kile Cha Basi Jekundu kupanda Ilipokuwa Bure Kabisaa.. baada ya Hapo Nauli ilipoanza Nikaacha..

But Swali langu ni Hili Je Ninapokuwa Nimeconnectiwa na Server za Nchi zingine Je ni kweli Nipo private mambo yangu hayaonekani No Body can Track me.. Or Just Pranks..
 
unataka privacy kwenye free VPN?
and what is that activity you want to hide from? Una Plan hacktivism juu ya Big powers?
Kwa nini haujiulizi wao(Free VPN providers) wanafaidika vipi? unafikiri ni kwa matangazo tu?

However,Online tunakua Identified na IP adress iwapo ukibadili hiyo IP means umeshajificha lakini Concern Kubwa inakuja je hizo Free VPN unazotumia hawafanyi Logging ya kile unachofanya?
Je,Unasoma TOS zao na wameweka bayana kwamba no Logs kwa users wao?

By the way mm sioni cha wewe kujificha sababu RGforever as RGforever sidhani kama kuna mtu atakae kaa akujue unachofanya Online labda uwe unatumia Static IP adress uliyolipia Mwenyewe na Kusajili kwa majina yako!

Thats Little I know!
 
Back
Top Bottom