Material ya Bullet proof

storyteller

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
1,511
1,844
Habari wana jamvi.

Kuna kitu kinanitatiza, hivi hizi bullet proof zinatengenezwa kwa material gani.?

Maana kuna vioo ambavyo ni bullet proof....

Kuna vest, ambazo wanavaa hata makomandoo, au watu wenye hofu ya kuchapwa risasi....

Kuna magar ambayo bodi yake ni bullet proof....

Tafadhali, nijuzeni.

Wenu katika udadisi.
 
Zinatofautiana kulingana na kampuni iliyogundua hiyo bullet proof..
 
Mkuu!;Sio kwamba kuna material spesheli ya kutengenezea bali ni labda uongeze unene au ugumu wa kitu husika!;Kwa mfano.Vile vioo vya bullet proof ni vioo vya unene wa 10mm vinaunganishwa na gundi kali ili kupata unene stahiki ambao risasi hizi za kawaida zikifyatuliwa hazitoweza kupenya kirahisi.Kwa upande wa gari chuma kinaongezwa unene pia.Kwa upande wa tisheti ni aina ya nyuzi pia.Ni hayo tu mkuu!.
 
@invincible hii mada ipelekwe inteligence forums ingejadiliwa vyema sana
 
Pia iangaliwe na silaha ya namna gani hutumika wakati umevaa hicho kifaa kwa maana silaha nyingine zitapenya kama upo tumbo wazi!
 
Back
Top Bottom