TECNO H5 na matatizo yake

Baryona

Member
Dec 20, 2015
21
3
nina simu aina ya tecno h5 tatizo lake ni DATA CONNECTION ukizima huwa inajiwasha yenyewe . ukiweka off ndani sikunde kadhaha itakuwa/ on naombeni msaada wa kuzima data
 
Huenda kuna app yenye permission ya kuwasha data automatically. Nenda Settings > Apps > Manage Apps. Kwenye running tab angalia hizo apps kama unazitambua na angalia permissions zake kwenye app info
 
Huenda kuna app yenye permission ya kuwasha data automatically. Nenda Settings > Apps > Manage Apps. Kwenye running tab angalia hizo apps kama unazitambua na angalia permissions zake kwenye app info

acha nijaribi ndugu
 
hiyo wadudu tu kai flash kiongozi tena carlcare ni 5000 tu jama angu alikuwa na tatizo kama la simu yako aka flash sasa hivi ana enjoy tu.
 
Back
Top Bottom