Nahitaji XBOX 360 controllers

makuti

Member
Mar 23, 2011
44
19
Heshima kwenu wakubwa!

Nahitaji kununua XBOX 360 controllers kama hautumii tena hata kama ni used, iwe tu inafanya kazi vizuri. Tafadhali nitumie ni-PM ahsanteni sana.

Shukrani!
 
Hutopata mtu humu jf hebu nenda kariakoo ukiwa unatokea kituo cha polisi upande wa kulia kuelekea kwenye round abt kuna duka lina bango la nikon hapo utamaliza shida zako
 
Back
Top Bottom