nashkuru wakuu ila kama kuna ufafanuzi zaidi msisite kunijuzabei nafuu zipo nyingi ila phablet bora ni galaxy note series. software yake imetengenezwa ili ifanye kazi kwenye screen kubwa kama hio.
tablet bora kwangu ni ile inayorun windows ambayo ni 2 in 1. unatumia kama play na work device.