Installation problems

Naitwa_khamis

New Member
Jan 26, 2015
1
0
Habari wakubwa na wadigo.
Back to point. Nimedownload Microsoft office 2010 from getintopc.com link iliyotolewa na cheif-mkwawa

But shida inakuja wakati wa kuinstall maana inaenda mpaka katikati then inasumbuliwa na haya...

Setup cannot find publisher. en-us\PublR. Cab. Browse to a valid installation source, and then click ok.

Shida nyengine ni kwamba kila nikichagua inasema invalid location. Nimezunguka sana Google bila mafanikio nikaona bora niilete hapa kwa great thinkers. Please msaada jamani
 
Last edited by a moderator:
Nadhan hiyo software imecorrupt download upya au tafuta source nyingine
Au chek version kama Ni compatible na PC yako siku njema
 
kama pc yako ina meet requirements zote za microsoft office basi file itakua halijajidownload fresh kwa maana huenda lime corrupt......
 
Mh my be ni ya single user. Hiyo site unayodownload iko approved na macrosoft au ndo za kupigiana kishaji
 
Back
Top Bottom