Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 494
Nina simu ya Huawei nataka kubadili rangi ya mwanga wake ili iwe na mwanga kama wa simu za sumsung.Nawasilisha
Nina simu ya Huawei nataka kubadili rangi ya mwanga wake ili iwe na mwanga kama wa simu za sumsung.Nawasilisha
pumba wacha kutumia logo ya chuo chetu hovy!
ongeza maelezo usaidiwe...mwanga wa samsung ndo ukoje? maana hata mm nina sumsung lkn cjaona kigeni kwny mwanga. shabash
Hutaki mwanga wa mashumaa..
Shukran kwa ushauri acha hawa wanaobeza tuTeh teh teh.hamna namna mkuu nunua samsung tu.
Na hata samsung kuna baadhi ya brand zao hazina huo muonekano kama gland prime.