Neutral catalyst
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 261
- 147
Habari za kazi wakuu, tatizo langu ni kuwa na huawei p7 ila ina tatizo la kupoteza network after a short time nimejaribu ku apdate to the latest firmware but still the problem persist chief mkwawa and other experties msaada wenu nlpelka kwa fundi wakakimbilia kuiflash but tatizo halijaisha
Kingine je. Nnaweza kuflash simu kwa pc pekee yake without using box na a sort of cables? Hapa namaanisha kuna app yyote ya kuflash ambayo naweza install na nikafany hyo kazi....
Kingine je. Nnaweza kuflash simu kwa pc pekee yake without using box na a sort of cables? Hapa namaanisha kuna app yyote ya kuflash ambayo naweza install na nikafany hyo kazi....