Wakuu mambo vp? nimetumia samsung galaxy kwa mda mrefu ila kwa sasa napenda nibadilishe aina ya smartphone nitumie HTC, nani ametumia hizi aina zote za smartphone anijulishe km znalingana ubora, uzuri ktk kutumia, n.k? .naomba maoni yenu tafadhali
umetumia galaxy gani ww?
htc sikushauri zina majanga yake..
unaweza cheki na lg, sony, iphone, huawei pia ana misumari yake.
nivyema na ungetaja bajet yako iwe rahis kukusaidia
Nashukuru mkuu, mi nimetumia galaxy ace duos, na samsung grand 11,badget yangu laki nne.
Kcamp htc zinamajanga gani tafadhali nielekeze vzr
tafuta lg g2 budget hio, htc sio mzuri kwenye low end.
Mkuu simu za Windows zote ziko poa sana na stable. Upande wa stability WP ziko safi mno... Mie nilikuwa na Huawei W1 tena ikiwa na Windows 8.0 ila ni hatari sana na ni low end user phone ila ilikuwa inakimbizana na akina android za mid range userNatumia HTC HD 7 mwaka wa nne iko poa tu.si android ni window phone. Kama ni mpenzi wa window utakuwa poa tu.Poa natumia samsung galaxy s 3 neo mwaka wa nne pia vilevile zote ziko smart tu.Window phone iko faster kiasi kwa internet ingawa wakati mwingine inategemea na eneo ulilopo na mtandao unaotumia.Jaribu bado HTC si mbaya au waweza nunua Brand za Microsoft ambazo pia ni window phone ziko poa tu.
hii simu inatumia mediatek helio x10 sio low end ni midrange. hii chipset ina cpu nzuri na yenye nguvu lakini inakunywa sana battery na pia gpu yake ni ndogo. pamoja na kuwa na gpu ndogo ina kioo chenye resolution kubwa (QHD) hivyo perfomance pia itakuwa ndogo. camera yake naona imelenga zaidi watu wa selfie na sio mbaya.@Chief-Mkwawa unaizungumziaje HTC one e9plus... Is it low end au na je ubora wake na performance ipoje...
Thank you
hii simu inatumia mediatek helio x10 sio low end ni midrange. hii chipset ina cpu nzuri na yenye nguvu lakini inakunywa sana battery na pia gpu yake ni ndogo. pamoja na kuwa na gpu ndogo ina kioo chenye resolution kubwa (QHD) hivyo perfomance pia itakuwa ndogo. camera yake naona imelenga zaidi watu wa selfie na sio mbaya.
kwangu mimi simu kama meizu pro 5 na lg g4 ni simu nzuri kwa same price.