itagata
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 210
- 71
Gari yangu Mitsubishi pajero inayotumia injini ya 4D56 imeua injini mara 2 ambazo kimsingi inazungusha mkono namba 1 mpaka block inalika kidogo kitu ambacho inakuwa vigumu kufanya repair. Kuna watu wameshauri nifanye replacement na injini nyingne tofauti na za mitsubishi kwa sababu bodi lake bado zuri sana. Sasa naomba kama kuna mdau anajua ni injini gani inafaa kufanya replacement bila kubadilisha gia box anishauri ili nifanye maamuzi. Karibuni Wadau.