Mkuu koyola Mboa Rais wsnasema ukipata fundi mzuri na ukipata mashariti take ni uhakika!?Mkuu hizo gari nikichomi .wewe tafuta mnyonge wako umuuzie au ligawe bure ni halitengenezeki
*Watu wanasema*Mkuu koyola Mboa Rais wsnasema ukipata fundi mzuri na ukipata mashariti take ni uhakika!?
Yangu bado mpya Ina km 52elf tu nilikuwa Nataka nipate fundi wa uhakika ili wasijeiingilia wasiojua.Ninalo moja.....haya magari ni mazuri saana na ni imara.Tatizo ni spare zake ghali saana
na yako sensitive kwa mafuta...yaani ukitumia mafuta yaliyochakachuliwa linakupa problem.Shinyanga hizo gari zipo nyingi sana na zinafanya kazi kama taxi.mafundi wapo wengi tu system yake ni kama gari zingine.Kama unaona tabu badilisha mashine weka ya Noaha bei zake ni 1.4m hapo ilala.Niko available kwa ushauri zaidi.
Wakuu msaada pls.Natafuta fundi specialist wa Mitsubishi Pajero au Dealer/s wake walipo kwa hapa Dsm. Pili mwenye ufahamu juu ya uimara wa hizi gari plllzzz anijuze. Natanguliza shukrani.
wewe una fundi wa uhakika unaemjua mzee?ninayo pajero io maarufu pajero GDI, nimenunua tangia 2007 toka km 50,000 mpaka sasa inakimbilia km 120,000 usisikilize maneno ya watu, sio mbovu kama watua wanvyosema, sema mafundi wa bongo ni makanjanja wameshazoea Toyota.hizo gari hazitaki mafuta machafu, mafuta yakiwa machafu engine inazima, wameweka hivyoili kufanya engine ikae muda mrefu, hapo ndio kwenye shida wa mafundi wetu, ukipeleka watakimbilia gear box, mara engine... ukiitaji msaada ni inbox
If yes,msaada plsW
wewe una fundi wa uhakika unaemjua mzee?
Thanx mkuu kwa ushauri.Watu humu mnaandika kwa mihemko. Mimi ninamiliki Mitsubish Pajero io 5 doors na hii ni ya pili baada ya kuuza ya kwanza hapa hapa Dar.
Tatizo mafundi njaa na wasio kuwa na weledi ndio wanaleta majanga na mafuta ya kuchakachua. Hii ya pili niliyonayo ilianza kuwa na miss mara kwa mara na matatizo ya kuwaka lakini nilimpata fundi akaitengeneza hadi leo fuel consuption iko vizuri na hakuna miss wala nn naitumia tu vizuri naenda kokote. Tena hizi gari zimeagizwa kwa wingi tu. Usihadaike na kubadili engine na nini sijui nenda mtaa wa Lindi ilala uliza duka limeandika Kachala electronics kuna fundi anaitwa Dickson atakutengenezea gari lako na litapona hutajutia thamani ya pesa yako. Siwezi kuweka namba yake bila idhini yake uki ihitaji PM na ulete mrejesho hapa hapa
Fundi huwa anatumia Vehicle diagnosis Computer na sio trial and error na spea zinapatikana. Ukifuata maneno ya wana JF humu utakatishwa tamaa tu.
Usipeleke gari lako kwa mafundi njaa utajuuta na pia usiweke mafuta ya kuchakachua ni hayo tu. GDI gari zuri sana na ninalifurahia mno