Habari za jumapili ndugu,natumaini mu wazima
Simu tajwa hapo juu,inaleta tatzo la kutokucharge tangu nilipoiupgrade to version 5.kwan nikichomeka kwenye charge inazima ghafla na kuonesha white...
Habari wanajukwaa
kuna simu ya mdogo angu ,nokia x2 haingizi sms (text sms) na pia memory card inasoma lakini, Ukitaka kuifungua ina andika formart.
Ukiformat na ukitaka kuingia tena inandika...
nimekuwa nikitumia sim ya huawei y330 ila sasa nimepata simu ya nokia lumia so naomba msaada njisi ninavyoweza hamisha charts zangu zote toka y330 kwenda lumia
shukran
Mi nipo humanities, pc yangu ilipata mpasuko upande wa pembeni lakini ilikua inafanya kazi kama kawaida. Nikaamua kuipeleka kwa jamaa mmoja tupo naye hapa hapa humanities, lengo langu aniwekee...
Habari zenu wadau wa hili jukwaa,
Naomba kufahamishwa kati ya hizi laptop ipi ni bora in terms of performance and battery durability!
Macbook Air na Macbook Pro.
Chukua Macbook Air.
Kimsingi...
Jaman naomben kuuliza je unaweza kuflash simu bila kutumia box ukatumia pc na usb tu je ni progam gan inatumika? Na inapatikanaje nuatashukuru wadau kwa anaejua anitext inaitwaje 0785764488
Poleni na majukumu mazito mnayokabiliana nayo. Naomba msaada wa software kwa ajili ya kuflash simu tajwa hapo juu. Kuformat kwa njia ya kawaida imeshindikana , naona njia nzuri ni kutumia...
Wana jamii! Nina simu yangu copy ya note 3 inasumbua sana upande wa sms, yaani ninapokuwa naandika inanionyesha sms moja ni herufi 140, sasa nikiwa naandika ikishafikia herufi ya 140 sasa nikitaka...
Juzi kati nilitoa malalamiko ya kuhusu sipati matangazo Dstv. Nikawafata ofisin kwako hapa Dodoma town, story zimekuwa nyiiingi mara ulipie fundi na mambo kibao. Kiufupi wamenikera.
Naomba kama...
Habari wadau nimesikia netflix streaming services inapatikana tanzania ila ningependa kufahamu kama wataanza kurusha filamu za kitanzania kama njia ya kuongeza hamasa kwa watanzania kutumia huduma...
Habari wakuu, Nilikuwa sijatumia simu ya Samsung Galaxy core Plus SM-G350 (Base: G350XXU0ANG4) sijaitumia kwa muda niliiweka tu home. Siku mbili tatu zilizopita nataka kuitumia ikaanza matatizo...
Nina flash yangu 64gb kila nikitaka kuformat haitoi option ya kuformat kwa fat 32 napata zingine only... na pia ukiweka files..... chache za mwanzo zinafanya kazi zingine zinafail....
Kwa kawaida line yenye internet access ukiweka kwenye android itaonyesha h au 3g kwenye network bars lakini nikiweka line ya airtel network bars ziko full lakini haionyeshi h wala 3g yani sipati...
Wakuu naomben msaada kuna nokia 2700 classic imepoteza configurelation afu customer care wa mitandao wanababaisha naomben msaada jinsi ya kuinstall hizo setting please.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.