Msaada wataalamu kuhusu blackberry bold 9000

son_of_masia

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
378
259
Habari za jumapili ndugu,natumaini mu wazima
Simu tajwa hapo juu,inaleta tatzo la kutokucharge tangu nilipoiupgrade to version 5.kwan nikichomeka kwenye charge inazima ghafla na kuonesha white screen.
Nimejaribu kuidowngrade na kuirudishia ver 4(os yake kabla ua kuupgrade ) lakini tatzo bado halijaisha.naimekuwa inapata moto sana ikiwa on.
NOTE:inacharge nikitumia usb yaan kwa kuchomeka kwenye computer but nikiweka kwenye umeme ndo inaleta white screen na kuzima. Naombeni utatuzi wa hili swala wana jukwaa wenzangu.
 
Back
Top Bottom