Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

In a new article, published in the science journal Nature, researchers propose a paradigm-shifting change in the treatment of wastewater, a shift they say could have a dramatic global impact...
0 Reactions
1 Replies
727 Views
Wakuu naomba kujua SMTP server ya TTCL inaitwaje jamani manake natumia TTCL Broadband huku bush na mara nyingi nimekuwa natumia outlook kwa ajili mawasiliano mbali mbali lakini nina kama wiki tatu...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Naomben msaada wenu kuna jamaa kaiba akaunt yangu ya instagram na kubadilisha info zote kuanzia username, email hadi password.. Karma kuna mtaalamu wa kuweza kunisaidia kuirudisha nitashukuru sana
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Wakuu salamu kwenu, Nikiwa kama mdau wa ICT napenda kufahamu kitu kimoja kuhusu mobile application. Kwa mtu ama kikundi cha watu wanaomiliki mobile apps zao na kuziupload mfano google store na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna watu huwa wanatamani kuangalia soccer ligi mbalimbali za ulaya kupitia laptop zao na hawajapata njia rahisi jibu ni hili hapa. Unachotakiwa kuwanacho ni laptop yako/PC pamoja iwe na huduma ya...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
fundi wa kutoa unlock carrier Kwenye iPhone 5 network n T mobile kwa bei Poa namtafuta
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Nikiingia YouTube wakati naangalia video inajiclose yenyewe
0 Reactions
2 Replies
695 Views
Wakuu hivi karibuni nimenunua window phone,baada ya manzi wangu kung'ang'ania simu yangu ya samsung,nikaamua ku-'experience the difference' kwa kuhamia Window phone kutokana na kwamba mimi nilikua...
4 Reactions
72 Replies
11K Views
GRANEX ENGINEERING WORKS We are registered engineering work on the following areas: Services · Industrial, Commercial and Domestic Electrical maintenance, wiring and Installations ·...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Nataka ninunue hiyo simu, naweza kupata kwa bei gani na iwe original na ni kwenye maduka gani mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Mwanza na Mbeya? Sababu ya kutaja hiyo mikoa itategemea hiyo siku...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wapendwa, nina shida ya active ballun au cctv amplifier nina project ya kufunga cameras zenye urefu usiopungua 400m. Mwenye nazo kindly inbox me.
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Habari zenu wakuu, Naamini hapa niko jukwaa sahihi la wataalamu wa mambo ya teknolojia tena ya kisasa kabisa. Naomba kufahamishwa ni vifaa gani(Vya kisasa kwelikweli) muhimu kwa kuanzisha studio...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ndugu wanaJF, kwa mwenye kuifahamu vyema gari aina tajwa hapo juu anisaidie hasa kuhusu ulaji wa mafuta na uimara wa injini zake ni D4 VVTi ya mwaka 2004, nimeitamani sana. Ahsanteni.
0 Reactions
45 Replies
21K Views
Habari za leo wakuu, katika pitapita zangu nimeamua kununua hosting ya site yangu, natumia wordpress, kuna template nimenunua ila inanipa shida kuwa extracted mpaka kuwa installed. kama wewe ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WhatsApp inasitisha ada ya michango kwa mwaka (Yearly Subscription fee) kwa huduma yake maarufu ya ujumbe. WhatsApp ilianzisha ada hiyo miaka michache iliyopita, na kulazimisha watumiaji wapya...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Habari wana jamvi, Mi ni msomaji sana wa vitabu. Na napenda sana kusoma na kusikiliza vitabu, lakini bado sijajua namna ya kudownload audio books. Navihitaji sana. Natanguliza shukran
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Play store yangu hainionyeshe app ambazo zinatakiwa zi update
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za usiku huu wakuu? Naomba ushauri, nataka niwatengenezee wajukuu zangu wawili bomba la maji kwa ajili ya kuwa wanaogea, yani maji yatokee juu kama mabomba haya ya kisasa. Hapa nina...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau mwenye kufahamu jinsi ya kuifanyia hard reseat simu tajwa hapo juu step kwa step naomba maelekezo
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Kama kichwa cha habari wakuu natafuta mafundi wa flat tv kwani Nina shida ya card kwenye singsung flat nch 24 natafuta Fundi mwenye nayo tuwasiliane nijue na bei 0752048709
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom