Line ya airtel haisomi internet

Line ya airtel haisomi internet

franco15

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
518
Reaction score
208
Kwa kawaida line yenye internet access ukiweka kwenye android itaonyesha h au 3g kwenye network bars lakini nikiweka line ya airtel network bars ziko full lakini haionyeshi h wala 3g yani sipati internet, na configurations za net nilishazipokea, msaada mwenye ujuzi!
 
Mkuu hebu tuwekee na screenshot ya hiyo internet configuration
 
Nenda SETTING. Kisha MORE Kisha WIRELESS AND NETWORKS KISHA ACCES POINT NAME KISHA CHAGUA UNAYOITAKA
 
Umeruhusu data ziwe wazi? Yani turn on Data kama umefanya hivo nice twende katika upande wa setting then weka Apn set ivi Name weka AIRTEL Then Apn Weka INTERNET then save io configuration..Inavyoonekana umepokea configuration ila huja zi install so try the method i mentioned above then don't hesitate to ask more...Lete mrejesho pia ili inshu kawa haijakaa poa tuendelee kukupa ways
 
mkuu hapa kunamaelezo hujaweka sawa.....
 
Hii post japo ni ya muda lakini airtel kama huna bando bar haisomi
Nitawekaje bandle bila kuona internet inasoma? Kwa ssbabu internet inaweza isisome hata kama bundle ipo. Mimi nilitupa laini ya airtel sasa natumia voda au halotel. Aigiliwe nani?
 
Kwa kawaida line yenye internet access ukiweka kwenye android itaonyesha h au 3g kwenye network bars lakini nikiweka line ya airtel network bars ziko full lakini haionyeshi h wala 3g yani sipati internet, na configurations za net nilishazipokea, msaada mwenye ujuzi!
Iliahawah kunitokea nikaenda ofisini kwao. Airtel kama huna bundle au vocha haionesh kama in internet access. Na mi nlikua naona shida kuweka vocha coz haina access. Wakanambia niweke vocha. Nilipoweka tu ikasoma
 
Back
Top Bottom