Msaada: jinsi ya kuflash simu nokia x2

Oxpower

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,162
3,055
Habari wanajukwaa

kuna simu ya mdogo angu ,nokia x2 haingizi sms (text sms) na pia memory card inasoma lakini, Ukitaka kuifungua ina andika formart.
Ukiformat na ukitaka kuingia tena inandika format

sasa nikataka kuiflash lakin nimekwama.naombeni msaaada kwa wataalamu
 
Naomba unitafute whatsapp kama una ujuzi wa computer utaflash hiyo na zingine zaidi.nitakupa maelekezo sahihi.0754 604567
 
anza na nokia suite, download kwenye pc then check kama kuna firmware update kama hakuna re install firmware halafu angalia kama itasolve
 
Back
Top Bottom