Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Samahani waungwana naomba kuuliza. Eti sim card holder ya samsung galaxy note3 ni removable au imeungwa moja kwa moja?
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Habari zenu wadau...naomba kuuliza kama hii app ya JF inapatikana sshv kwenye all versions of windows phone!? Kwa sababu nilikuwa nina LUMIA 520 iliyokuwa ina run windows 8.1 lakini sikuona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilisoma mahali kwamba Mobogenie App inaweza ikatumika ku-flash simunadhifu. Je! Inafanyikaje kwa ninyi wabobezi?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wana JF Msaada wa tablet nilinunua kwa MTU ninayo kwa takribani wiki tatu Leo imezima yenyewe na nimejaribu kuichaji haioneshi Dalili hata ya kuwaka. Msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
970 Views
Kuna process gani ili kuwa wakala wa kuuza umeme wa Tanesco. Hapa siongelei kuwa kama wakala wa MaxMalipo, Selcom au buttonpay bali naongelea kuwa wakala wa Tanesco kama MaxMalipo Buttonpay...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Naombeni nawezaje kuhost website au mahali ambapo ntapata huduma hiyo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kufahamu wapi naweza kupata display screen ya Hisence smartphone model HS - U800. Simu nimeinunua tekriban miez miwili iliyopita, imefondoka chini imepasuka display na touch imekufa.
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Kama nilivyopima kupitia www.speedtest.net just now. Amazing!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanajamvi, Mimi nimekuwa nikitatizwa na vitu viwili kwenye simu; (1) Yeyote anayefahamu jinsi ya kutambua simu inayoendana na mfumo wa 4G naomba anijuze ni kwa namna gani naweza kuitambua? (2)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kilio na ombi hili hiki navipeleka kwa shirika la TANESCO. Mimi natumia umeme wa LUKU na ninasafiri sana. Wakati mwingine safari hizi hunichukua hata mwezi mzima kabla ya kurudi nyumbani...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Kama heading inavyojieleza, msaada tafadhali.
1 Reactions
0 Replies
930 Views
Natanguliza shukrani Toshiba satellite c50-A534 Windows 7 professional Hili tatizo lina kama wiki mbili ivi nadhani limeanza baada ya Windows update . Kila nikiwasha inakaa kama saa moja au...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
zimefutika hazipo ila kuna siku zilifutika baadae zikarudi zenyewe nini tatizo kwa wanaoelewa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naskia Netflix sasa inapatikana Tanzania, Swali: Je, ipo kama cable TV au ni kwa Computer devices pekee? Karibuni kwa michango..
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Ninahitaji kuchapisha stickers kubwa kwa ajili ya kubandika kwenye magari ya biashara ili yawe yanatangaza biashara yangu yawapo barabarani (ni magari madogo mawili yaani Noah...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini wataalamu, nina modem yangu ya zantel line imepotea, je kuna uwezekana wa kuiflash itumie laini zote?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu waJF..! Plz naomba kujuzwa gari hizi zina ukubwa wa Pistons ngapi @..? Je, ni vitu gani vinaweza kumsaidia mtu kujua idadi ya Pistons ktk gari fulani..? a. Toyota Voxy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wakuu..., Ni wapi naweza kupata mashine ndogo ya kutoa copy(photocopier) kwa bei nafuu?? Hiyo mashine iwe; *Inatoa copy pande mbili *Inafanya kazi kwa haraka *Isiwe na scanner.(kwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom