Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,755
- 1,734
Juzi kati nilitoa malalamiko ya kuhusu sipati matangazo Dstv. Nikawafata ofisin kwako hapa Dodoma town, story zimekuwa nyiiingi mara ulipie fundi na mambo kibao. Kiufupi wamenikera.
Naomba kama kuna mtaalam anaweza kunielekeza jinsi ya kufanya settings kupitia hiki king'amzi niwe napokea tv kwa njia ya settelite za kawaida.
Asante kwa msaada wako!
Naomba kama kuna mtaalam anaweza kunielekeza jinsi ya kufanya settings kupitia hiki king'amzi niwe napokea tv kwa njia ya settelite za kawaida.
Asante kwa msaada wako!