Msaada: did not match sized system/csc/others.xml

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Habari wakuu, Nilikuwa sijatumia simu ya Samsung Galaxy core Plus SM-G350 (Base: G350XXU0ANG4) sijaitumia kwa muda niliiweka tu home. Siku mbili tatu zilizopita nataka kuitumia ikaanza matatizo.

Ikishawaka, baada ya sekunde kadhaa au dakika inazima yenyewe. Nikaamua kuifanyia factory reset ikasema successful lakini chini yake kukawa na message hii:

did not match sized '/system/csc/common/system/csc/others.xml

qoUnYy9.png

Nikajaribu alternative solution kutumia Odin3 kwa firmware zilizopo hapo chini lakini bado inazima na kuwaka yenyewe (bootloop).

1. G350XXU0ANG4_G350PHNANH1_PHN
2. G350XXUAOI3_G350NRJAOI1_NRJ
3. G350XXUANB1_OXXANB2
 
SOLVED! I found a solution
 
Back
Top Bottom