Hello guys..
Naomba kuuliza,
Katika technology ya kileo kuna uwezekano wowote wa kubadirisha video zilizo katika mfumo wa VHS (yaan ile mikanda ya kizamani) kwenda katka mfumo wa CD au DvD...?
Habari za leo waungwana! Kama kichwa cha habari kijielezavyo hapo juu, nahitaji msaada wa mwenye kujua kama kuna teknojia ya kubadilisha video zilizomo katika tape za VHS na kwenda katika DVD...
Twitter ni mtandao wa kijamii wa pili kwa ukubwa duniani. Maarufu kwa meseji zake zenye maneno 140 tuu zinazojulikana kama ‘Tweets'. Twitter ilianzishwa mwezi Machi 2006 na katika kipindi...
Nina laptop yangu aina ya Toshiba satellite betri lake limeharibika siku c nyingi kwahiyo natumia moja kwa moja toka kwenye umeme. Sasa hivi imekuja na tatizo jipya ambalo ni kuzima ghafla lakini...
Nina Laptop aina ya hp compaq 6720s nikiplug charger pale kwenye tundu la kuwekea panawaka kama vicheche nikijaribu kuwasha haiwaki nisaidieni sijui tatizo Na nifanye nini?
Nina Lumia 520. Hii Simu Ina matatizo kadhaa.
1. Nikiweka line ya airtel haisomi 3G licha ya kuweka maximum speed katika settings kuwa 3G. Huku kwa mitandao engine with same settings simu...
Nahitaji msaada kuhusu hii "app runtime for chrome", ni kitu gani na ufanyaji kazi wake ukoje etc. Nimeiona kwenye thread flani hivi ila sijaielewa. Nataka kutumia Whatsapp kwenye PC yenye CPU ya...
It looks like Samsung is determined to win back some of its fans that have decided to keep their older flagship smartphones instead of upgrading to Galaxy S6 due to the lack of features like...
Wakuu habari za jioni.
Kuna simu hapa ina tatizo tajwa hapo juu kwamba data ikiwashwa haiungi(connect), haioneshi vile 'vimshale' vinavyoashiria imekuwa connected!
Lakini ukiunga Wi-Fi/hotspot...
Nina simu ya samsung note2 N7100; jioni hii imeanza mazinga umbwe, awali ya yote natumia line ya voda. Sasa ghafla inaniambia (selected network vodacom unavailable) na siwezi kupiga simu wala...
Habari yenu ndg wa jukwaa hili. Jamani anombeni sn msaada kwa wenye ufahamu juu ya namna ya kupata history ya kazi zote zilizofanywa ktk photocopy mashine. Yaani kujua idadi ya copy pages and...
Habari wanajukwaa ,
Natumaini mi wazima WA afya njema na mwaendelea na majukumu ya kila siku .Najitokeza kwenu kuuliza je kwa yeyote yule anayeweza nisaidia kujua kua nitapatawapi simu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.