cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,117
- 1,794
Wana jamii! Nina simu yangu copy ya note 3 inasumbua sana upande wa sms, yaani ninapokuwa naandika inanionyesha sms moja ni herufi 140, sasa nikiwa naandika ikishafikia herufi ya 140 sasa nikitaka niendelee ili ziwe sms inaniambia inayofuata sio sms bali ni mms hivyo siwezi kuandika sms ya pili naishia ile ile sms moja ! Sasa hapo tatizo ni nini? Kwa anayefahamu naomba anielekeze jinsi ya ku-set.