Ficus
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 1,438
- 1,119
Habari zenu wadau wa hili jukwaa,
Naomba kufahamishwa kati ya hizi laptop ipi ni bora in terms of performance and battery durability!
Macbook Air na Macbook Pro.
Naomba kufahamishwa kati ya hizi laptop ipi ni bora in terms of performance and battery durability!
Macbook Air na Macbook Pro.
Chukua Macbook Air.
Kimsingi tofauti ya kubwa kati ya Macbook air na Macbook Pro iko katika hardware.
Hivyo kulingana na haya mahitaji yako Macbook air ndio chaguo sahihi na Itakidhi mahitaji yako.
Iwapo kazi za laptop yako mfano ingekuwa Video editing, 3d modeling na kazi zingine zinazohitaji performance kubwa basi chaguo sahihi ingekuwa ni Macbook Pro.
Karibu