Dery

Dery

Member
May 20, 2013
6
1
Jaman naomben kuuliza je unaweza kuflash simu bila kutumia box ukatumia pc na usb tu je ni progam gan inatumika? Na inapatikanaje nuatashukuru wadau kwa anaejua anitext inaitwaje 0785764488
 
Sawa bro me nataka nipate progam ambayo naweza kuinstall kwenye pc nikawa nafanyia hayo mambo naomba unielekeze
 
Za simu gani me ninazo zote.na ninapiga kazi muda wote.kuanzia android SPD.blackberry sony iphone.nokia na zaidi..nicheki whatspp 0754 60 45 67
 
Nicheki whatsapp tupatane ata ukiwa mkoani ukiweza nakuja na mzigo nakuelekeza na soft nakupapa gharama tu.ata samsung inawezekana.ila ukiwa box bora zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom