Jinsi ya kuapload picha kutumia simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kuapload picha kutumia simu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by iron finger, Oct 13, 2011.

 1. iron finger

  iron finger JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wakuu tafadhali nilikuwa nahitaji ni jinsi gani ntaweza kuweka picha apa jamii forum kwa kutumia simu yangu
   
 2. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Nami nina tatizo kama hilo, ngoja tuwasubiri wataalam
   
 3. M

  MKWELIMAN Senior Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  wataalamu wapo katika catagory gadjets-science forum
   
 4. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Unatumia Browser Gani? Ninaweza kuwasaidia.
   
 5. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,338
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  opera min new version
   
 6. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Opera mini haitaweza kufungua PC Mode kwa kuwa PC MODE ina matatizo, je una UC BROWSER? Ndio nimeitumia sasa hivi kubadili avatar na prof picture yangu.
   
 7. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Yaani Sasa hivi tu nimetoka kubadili picture zangu. Wala haijanisumbua. Kama una UC BROWSER, niambie nikuelekeze.
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wataalam mjapo humu,naomba m2fafanulie kwa undani zaidi kwani wengi humu JF tuna matatizo kama hayo yanayo2kabili. Zaidi ya yote,nasema kama kuna anayejua matibabu tajwa hapo juu asiache ku2juza.
   
 9. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Kwanza kabisa napenda kusema samahani kwa kuchelewa kuwaelekeza. Nilikuwa nakariri steps ili niwakeleze vizuri.

  Kuna top mobile browser ambazo ni Operamini/Opera beta, Uc Browser, BOLT n.k. Hizi zote ni browser ambazo wengi wetu tunazo.

  Mjue kuwa hakuna njia ya ku-upload picha katika Jamii Forum kwenye version ya Jf Mobile, Ila unaweza ku-upload katika Version ya PC MODE tu!
  Kwa bahati mbaya hiyo version ina matatizo kwa sasa. Haifunguki tena, nimepiga kelele kwa mods na hawajanijibu tatizo ni nini.
  Baadhi ya mobile browser zinaweza kufungua PC MODE na nyingine haziwezi.


  Operamini inaweza kufungua PC Mode endapo uta-select 'PC MODE' hapo juu pembeni ya 'LogOut' option. Lakina kwa sasa nadhani ina matatizo ila naamini wataalamu wanajitahidi kuitengeneza. Hivyo basi, kama unatumia hii browser kwa sasa hautaweza kuifungua page ya JF ya PC Mode.

  BOLT browser inaweza kuifungua PC MODE, unaweza kusoma likes zako, kujua page visitors wa page yako, friend requests na kuedit details zako, ila tatizo lake haiwezi ku-upload picha, sometime zinakataa kwa kuwa BOLT haipo safe sometime.

  UC BROWSER inaweza kufungua pages kwa format ya Wap (Jf Mobile) na Web (Jf Pc Mode). Ni kwenda katika settings tu
  ................,....,........
  fungua Uc Browser yako,
  select 'Menu'> 'Settings'> then
  select 'Preferences' > utaona
  choice imeandikwa 'Network
  User Agent' ukiichagua utapewa
  choice tatu 1.No, 2.Wap UA 3.Web
  UA... Chagua 'Web UA' then save
  setting.. Page zote zitakuwa
  katika format ya Web na sio Wap
  tena.
  Ukishindwa niPM.
  ...............................
  NB: Ukichagua Web UA utaweza kufungua JF PC kama kwenye computer (PC MODE), ukichagua 'Wap UA' utakuwa unaifungua Jf kwa Mobile version. Its ur choice. So, kama utakuwa unataka ku-upload picha utaenda setting (katika format ya Pc Mode ukiwa umeshachagua 'Web UA' katika settings ya Uc Browser) then utaona choice za 'change avatar picture' na 'change profile picture' utabadili kwa ku-upload picha iliyopo kwenye simu. Katika page hiyo pia utaweza kusoma likes zako, kujua page visitors wa page yako, friend requests na kuedit details zako na kuweka picha. Its good and easy. Naamini mmenielewa. Kama umeshindwa nitumie PM nitakuelekeza vizuri. Nawatakia usiku mwema.
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi vichwa vya IT muhimu sana humu JF, hawa ndio kina Steve Jobs wetu
   
 11. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  duh, asante mkubwa. Japokuwa umenipa sifa nyingi kupitiliza.
   
 12. Jeruh

  Jeruh Member

  #12
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Shukrani Mkuu umeniondoa tongotongo aisee!
   
 13. M2mwembamba

  M2mwembamba JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2016
  Joined: Feb 23, 2014
  Messages: 1,973
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 280
  Asante sana
   
Loading...