ni ngumu kutumia namba. lakini kama utakuwa unatumia cm smaltphone yoyote basi itakuwa rahisi ku- restor au kuifrash. Izime kwanza cm yako, kisha bonyeza kwa pamoja button ya kuwashia cm pamoja na button ya kuongezea sauti, cm itawaka then fuata maelekezo itakayoyatoa ili ui restor au kufrash cm yako.Hivi ni namba zipi kwenye simu ukizibonyeza zinakulete option ya ku restore sim yako? Kwa anayejua naomba anijuze tafadhali