Nahitaji fundi PC kutoka Informatics (UDOM)

kichekoh

JF-Expert Member
Sep 19, 2015
1,376
1,479
Mi nipo humanities, pc yangu ilipata mpasuko upande wa pembeni lakini ilikua inafanya kazi kama kawaida. Nikaamua kuipeleka kwa jamaa mmoja tupo naye hapa hapa humanities, lengo langu aniwekee gundi tu ili ipate kushikilia, alichoifanya mpaka najuta kumpelekea. Jamaa tangazo lake ukiliona utasema boonge la fundi kumbe si lolote. Basi akaifungua yote. Akachanguachangua pc yote. Kisha akaweka super glue kwenye ule mwachano. Akaifunga kama ilivyokuwa, basi kila akiiwaka haiwaki. Mpaka leo nnavyokwambia nikiiwasha inawaka feni tu basi. Dah jamaa kaniharibia Pc yangu. Nikaelekezwa mafundi wazuri wapo informatics, lakin cjui wapo block gani au rum ngapi. Mwenye kufahamu naomba anifahamishe...
 
njoo kunambi 321 mzumbe
 
Kama haijapona, funga safari mpaka mjin jengo la bima . kuna jamaa anawasha laptop ya ubovu wa kila aina anaitwa Isack. Hesabu imepona tayar
 
Back
Top Bottom