Je spidi ya computer inategemea architecture yake

hyle master

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
207
23
wakuu nigependa kujua speed ya computer inategemea vitu gani kwenye computer na je arrangement ya proccesor na ram ina affect vipi spidi ya computer
 
speed ya computer inaathiriwa na mambo mengi sana.
-processor ya pc, jinsi inavyokuwa na speed ndio jinsi pc inavyokuwa faster

-ram interms of speed na bandwitch. jinsi ram inavyoweza kuprocess gb nyingi ndio pc inavyokuwa na speed na aina ya ram inategemeana na chipset yako (processor)

-storage, computer yenye ssd ina speed zaidi ya yenye hdd.

-motherboard, zipo ambazo ni dual chanell yaani ukiwa na slot mbili za ram basi cpu itawasiliana na ram zote mbili na kufanya mambo kiharaka zaidi na zipo ambazo ni single chanell ambazo zinawasiliana na ram moja tu kwa cycle.

-power supply- ikiwa ndogo umeme utaenda mdogo na mwisho wa siku cpu/gpu ita bottleneck na kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu.

-gpu, hii husaidia kuprocess graphics nayo pia husaidia kufanya mambo yawe smooth kama vile display zenye resolution kubwa, user interface, games nk

-case na fan, computer ikiwa eneo kuna air flow nzuri na haipati joto sana itafanya kazi fresh ili kukiwa na joto saba itashuka speed.

- display, siku hizi kuna vioo vina technology kama gsync, freesync nk hizi tech husaidiana na gpu kukupa smooth picture bila lag kwenye display yako.

almost kila unachokiona kwenye pc kinahusika kukupa speed. njia rahisi ya kupata yote hayo juu ni kuchagua generation ya kisasa ya cpu na automatic utapata almost vitu vyote. mfano nimechagua processor ya skylake ya i7 6700 automatic nitapata
-motherboard ya kisasa
-ram za ddr4
-gpu nzuri (hd 530)
-inatumia umeme mdogo (bottleneck inakuwa ngumu)
-nk
 
pia free space ya kwenye disc C huwa inachangia kwenye speed ya kucopy data
 
Back
Top Bottom