Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Sioni sehemu nayoweza sign out JF kwenye hiyo MENU...ninafanyaje?Msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni kipi lilichoongezeka katika version mpya ya marshmallow. Ukitofautisha na lollipop
0 Reactions
0 Replies
736 Views
habari guys, nimefungua blog yangu, naomba nixaidiwe template nzuri special kwa blog na adsense
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Natumia QSat 15 G nilikuwa napa na kuona vituo kadha vya TV hapa Tz kupitia Satellite ya Amos 2,3 lakini ghafla ina niambia No Service. Shida ni nini? Je! Wamehama tena? Chonde chonde.Nisaidieni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za week end wadau wa JF Tech? Niende kwenye point moja kwa moja, nilipata notification ya availability ya windows 10 kwa PC yangu ambayo ni HP 635. Niliweka bando ya kutosha na kupakua...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanatech nauliza duka la kuipata simu tajwa hapo juu kwa hapa Dar kwa reasonable price budget yangu ni Tshs 300,000.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
kwa wataalamu wa kufunga madish naomba kuuliza..nawezaje kupata hotbird satelite hapa dar es salaam?..ningependa kujua ni dish ukubwa gani na lnb type gani inayohusika niweze kuikamatata hii...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
jaman lumia 920 yangu ilidondoka akapasuka kioo na kuanza kuflick kama inavyooneka ktk picha, je nini cha kurepair hapo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
PC yangu kila nikiiwasha inapofikia sehemu ya starting window inastack hapo/ ina-freeze muda mrefu sana na Mara nyingine inaniletea startup repair. Sasa sijui shida nini kwa anayefahamu anifahamishe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau naombeni msaada wa app inayoweza kudowload nyimbo mchanganyiko kuanzia hizi za bongo.naija fleva na za mbele natumia s5 samsung yenye android
0 Reactions
17 Replies
9K Views
kompyuta yangu inaonyesha maicon makubwa na chenga chenga nyingi tofauti na ilivyokua mwanzo je nipige window mpya au ni install driver za vga au nifanye nini ili ikae sawa
0 Reactions
6 Replies
505 Views
Wakuu natumia hTc rezound(verizon) Siku za hivi karibuni imegeuka kero ina adds za kutosha kila dk mbili linatokea tangazo halafu ni unstoppable,nifanyaje ili niweze kuisafisha simu irudi kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuu. Naomba msaada jinsi ya kuwezesha simu yangu iwe na uwezo wa kupata internet. Natumia mtandao wa tigo na simu ni aina ya Samsung GT-S7500.......Nimejaribu kupiga customer care...
0 Reactions
22 Replies
19K Views
Wadau naomba msaada wa autoposter hata Kama kwa kulipia. Ila bei isiwe kubwa maana ndo kwanza naanza kazi
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa sasa kuna matatizo kwenye hizi decorders, lakini unaweza kupata almost chanel 22 . Nenda CHANNEL MANAGER--> NIT SEARCH weka frequency ya 482K Then search. Chanell zinazopatikana; Chanel...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Sikuiz kuna ATM kadi tofaut tofaut kuna ATM kadi zimeandikwa, MASTER CARD, VISA na zingne zipo normal hizana hayo majina mfano CRDB now wana master card na visa. NMB nao saiv wana master card...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Binadamu anajifanya mjanja na kumbe si mjanja kabisa. Watu wengi ni wazembe sana inapokuja kutumia password mtandaoni na sehemu mbalimbali. Utakuta mtu anarudia password yake ileile au hata...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Wakuu, asanteni kwa msaada wenu katika teknolojia. Nimekwama sehemu na nikaona hapa naweza pata msaada wa haraka. Ninahitaji kuanza kujifunza kutengeneza magazine, na nimefuatilia kwenye mtandao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Namna ya ku-copy video iliyotumwa kwenye Jamiiforums na kuipeleka, kwa mfano kwenye WhatsApp.
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Back
Top Bottom