nimekuwa nikitumia sim ya huawei y330 ila sasa nimepata simu ya nokia lumia so naomba msaada njisi ninavyoweza hamisha charts zangu zote toka y330 kwenda lumia
Ukishajaza ikija sehemu ya backup ingia hapo watakuuliza unataka kubackup 1 week au mwezi 1 au mwaka 1, sasa kuback hapo ni kurudisha chart zako zako chagua mwenyewe unataka kurudisha za wiki, mwezi au mwaka mzima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.