Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

kwa mwenye kujua ni wapi naweza nikapata kits/box naona wanaita ivo kwa ajiri ya kuflash simu msaada tafadhali
1 Reactions
21 Replies
4K Views
katika mwaka uliopita iphone walikuwa wanatumia mfumo wa kawaida wa kuweka earphone lakini tetezi zinazosikika saizi ni kuwa wanataka kutoka iphone 7 mwishoni mwa mwaka ikiwa haina sehemu ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna mtu anayejua jinsi naweza pata hii decoder ya AbuDhabi TV
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf! Kwa mtu mwenye uzoefu wa power bank za kuchajia simu naomba kusaidiwa! ni mAh ngapi ndio nzuri na inauwezo mkubwa wa kuchaji simu hata mara 4 ikiwa simu haina chaji kabisaa...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Amani iwe juu yenu wana jf. Hivi karibuni nmejiunga na mtandao wa Halotel. Lakini bado sijajua bandle unajiunga vipi. Haswa unlimited za Internet. Kwa anaejua tafadhal naomba anijuilishe. Thanks...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada modem ya halotel haionekani kabisa kwenye PC nikitaka kufanya installation. Naomba mwenye ufahamu wa hili.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau, nina tatizo, jana ''nili-restore to factory settings'' iPhone 6 plus, nilimaliza wakati nafanya set up ikahitaji password ya account ya iCloud, kwa kweli mwenye simu hakumbuki password...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu natumia tecno phantom A3 (M9) na kama zilivo zingine ina laini 2. Tatizo ni kuwa laini 2 ambayo ni.ndogo haisomi data. Niliweka airtel nikawa natumia kwenye net kwenye hiyo laini 2 ila baada...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Simu yangu huawei,karibu kila wiki inaji_restart ikiwaka inataka nifanye factory reset,reboot au backup,kitu kinachonogharimu kudown load upp zote upya,hali hii inatokea hata kama nikiondoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kompyuta yangu Dell D620. Nilii Factory reset .Ilipofika 20% ikiisntall windows updates Chaji ikakata na kuzimika.Nilipoiwasha inaonyesha IKO 64% .inawaka na kujizima kwa kuendelea. Sasa...
1 Reactions
1 Replies
961 Views
Mamboz! Naomba kufahamishwa jinsi ya kum'block mtu by codes na pia jins ya ku'forward incoming call from one phone to another,ahsanten!
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Hii simu inasapoti 4G lakini tigo wanasema haisapoti, baada yakuwa onyeshea kuwa inasapoti wanadai iko nje ya frequency zao za 4G kwa maana hiyo haita kubali, Wanadai ingekuwa Samsung au huawei...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau wa jukwaa hili habari, Nina itel1702 prime11 ambayo kwa kustukiza tu naona ile notification bar na ile sehemu ya juu kama haisensi hivi maana kila nikitouch kitu kilichoko eneo hilo inakua...
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Naomba msaada kwa anayejua unlock network code ya nokia lumia 520 nimepewa na dada alitumiwa kutoka Uk bado ni Mpya inatumia windows 8.0
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nina simu yangu ya itel 1503 yenye version ya kitkat nataka iwe na lollipop version, nimeshairoot tayari. So kwa mtaalam yoyote wa mambo haya aliyepo Dodoma...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nimeibiwa iPhone 4s naweza je kuipata?kuitrack?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada kwa yeyote Anaya fahamu mahali Board za Arduino zinapatikana Pamoja na gharama zake naomba ani PM Regards Stormryder
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Mamboz! Naomba kufahamishwa jinsi ya kum'block mtu by codes na pia jins ya ku'forward incoming call from one phone to another,ahsanten!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nilikua nauliza kama kuna mtu anajua bei ya video ram ya 512 mb ya kuchezea game na vitu vigine naomba aniambie bei Asanteni
0 Reactions
1 Replies
613 Views
Back
Top Bottom