The patriot man JF-Expert Member Aug 16, 2015 1,042 1,222 Jan 21, 2016 #1 Nilikua nauliza kama kuna mtu anajua bei ya video ram ya 512 mb ya kuchezea game na vitu vigine naomba aniambie bei Asanteni
Nilikua nauliza kama kuna mtu anajua bei ya video ram ya 512 mb ya kuchezea game na vitu vigine naomba aniambie bei Asanteni
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,409 41,862 Jan 22, 2016 #2 inaitwa gpu, na hio yenye 512mb kuna uwezekano ikawa slow kushinda ram zako