Natumai simu aina ya Xiaomi Redmin 2

Pangah2011

JF-Expert Member
Apr 29, 2012
260
213
Hii simu inasapoti 4G lakini tigo wanasema haisapoti, baada yakuwa onyeshea kuwa inasapoti wanadai iko nje ya frequency zao za 4G kwa maana hiyo haita kubali,

Wanadai ingekuwa Samsung au huawei ingekubali.

Je nikweli kuna simu zinachagua maeneo yakushika 4G au tigo hawajielewi?

Xiaomi Redmi 2 - Full phone specifications
 
Modem ya simu inakaa kwenye soc na hio simu yako ina snapdragon 410 hivyo inatakiwa ishike 4g na si kweli kwamba ikiwa samsung au huawei inakubali.

Cha muhimu download cpu-z toka playstore irun halafu tusomee aina ya soc je ni snapdragon 410? Kama ndio basi kanunue line ya 4g.

Mimi nilisajili bila hata kuwaonyesha simu.
 
Hiyo hapo
 
Attachments

  • 1450893672939.jpg
    1450893672939.jpg
    49.2 KB · Views: 193
Tigo kawaida Yao hta mim nina samsung galaxy s5 ina 4G Lakin wananiambia haipo kwenye frequency zao
 
Hiyo hapo

nimeicheki gsmarena haina band 20 ya tigo ina band 40 ya smart.

hapa inamaana huwezi tumia 4g ya tigo ila utaweza ya smart.

ila sd 410 inayo 4g ya tigo ila nahisi kutokana ni simu iliotengenezwa kutumika mazingira ya china wakachaqgua yenye frequency za kichina kama hio band 40 (2300mhz).

cheki na smart naona hata vifurushi siku hizi wamepunguza bei vya 4g.
 
Thanks chief
 
Ina maana tigo inasupport band 20 pekee? Nataka kuchukua LG G3 naona haina band 20
 
Wadau wapi naweza kupata simu za ASUS mpya(ambazo hazijatumika) kwa Dar?
Natanguliza shukran.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom