High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,131
katika mwaka uliopita iphone walikuwa wanatumia mfumo wa kawaida wa kuweka earphone lakini tetezi zinazosikika saizi ni kuwa wanataka kutoka iphone 7 mwishoni mwa mwaka ikiwa haina sehemu ya kuplagi earphone je wanaboresha au wanaharibu tu ikiharibika earphone hiyo je itatengezeka hebu wadau wanaofahau mambo ya wireless watuambie ubora wake