structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
Wakuu natumia tecno phantom A3 (M9) na kama zilivo zingine ina laini 2. Tatizo ni kuwa laini 2 ambayo ni.ndogo haisomi data. Niliweka airtel nikawa natumia kwenye net kwenye hiyo laini 2 ila baada ya bando kuisha baadae nikaona zile H,G na hata E havisomi.
Mwanzo nikajua labda airtel wamezingua ila kucheki kwa washikaji airtel zinapiga mzigo kawaida. Sasa leo nikaweka halotel tatizo likawa lilelile . Hivyo naomba utalamu kidogo hapa.
Mwanzo nikajua labda airtel wamezingua ila kucheki kwa washikaji airtel zinapiga mzigo kawaida. Sasa leo nikaweka halotel tatizo likawa lilelile . Hivyo naomba utalamu kidogo hapa.