Habari wana JF,
Nina uzoefu kwenye field ya Fleet tracking na Fleet management, huduma ya kufunga tracking devices kwenye magari na pikipiki imekuwa kwa kiasi kikubwa sana hapa Tanzania kwa miaka...
Wadau habarini humu, Nna tatizo kishumbusi changu cha continental hakionyeshi channel yoyote zaidi ya star guide. Mwenye frqnce mpya kama zipo anipatie tafadhali.
Ahsanteni
Habari za muda huu wadau wa JF.
Mim ni programmer, napenda kuprogram programs.
Naombeni ideas za title za project ambazo nikifanya implementation inaweza kunitoa kimaisha.
Ushauri wako ni muhimu...
Pc yangu Hp compaq ina tatizo...
nikiwasha inawaka lakini screen inabaki black, nimejaribu kuconnect na external monitor labda kama tatizo ni screen ya pc lakini bado haikudisplay kitu...pia...
jaman iphone 5s yangu haitumi sms nikiweka line yangu ya voda, lakin nikiweka line zingine inatuma na hii line ya voda nikiweka kwa simu nyingine inatuma, nini tatizo?
Wakuu hivi hii company ya TPS iliyoko Shekilango mkono wa kulia kama unaenda Big brother inahusika na nini?.
Mule ndani naona wamejaa baadhi ya wachina,sasa najiuliza hii compuny ni nani mmiliki...
Nina simu tajwa hapo juu, ina-restart kila baada ya masaa mawili. Ni mpya inafanya hivi tangia niinunue. Kama mtu anajua namna ya kusolve hili tatizo anisaidie. Vitu vingine inafanya vizuri tu.
Hey guys.
Leo nimeshangaa kukutana na 'BLOCK' kwenye watssap call. Jumapili ya wiki iliyopita nilitumia na ilikuwa inafanya kazi vizuri kabisa, ila leo nimeshngaa kuambiwa kwamba "Your mobile...
Salaam kwenu.
Nimepokea link toka kwa ndugu yangu kuhusiana na Whatsapp + then wanataka sjui uwatumie watu 10 n.k
Sasa kama kuna aliyejaribu na akafanikiwa tunaombe atupatie mrejesho tafadhali...
Natafuta mtaalam wa simple template ambayo matangazo ya adsense hayatapotea tuwasiliane Pm vizuri zaidi ukanitumia na baadhi yatemplate ambazo ushatengeza Natanguliza Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.